IKIWA kesho ni kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, vijana 1,436 kutoka mikoa yote Tanzania, wameanza matembezi kwa ajili ya kumuenzi kutoka kijiji alichozaliwa cha ...
MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari leo Oktoba,06, 2024 amewaongoza viongozi na watumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo kuupokea Mwenge wa Uhuru ambao umetokea mkoani Geita na kupokewa katika ...